Kella B - Tano Kwao FT. Geezy & Dax ( Official Music Video )

Описание к видео Kella B - Tano Kwao FT. Geezy & Dax ( Official Music Video )

#KELLASOPHIA album
Karibu kutazama video rasmi ya wimbo wa kwanza kuachiwa kutoka kwenye album ya nne ya GEN. KELLA B inayoitwa KELLASOPHIA

Album hii itakuwa mtaani rasmi tar 22.02.2025

Gen. Kella B Ni askari toka familia ya WANABOMA yenye maskani yao Tanzania.Kella B amekuwa mkufunzi juu ya uwajibikaji na maadili katika jamii zetu

Ungana nasi katika kujenga jamii imara na bora
Sambaza/Share

Комментарии

Информация по комментариям в разработке