UGAWAJI WA MISAHADA NYARUGUSU CAMP PART1

Описание к видео UGAWAJI WA MISAHADA NYARUGUSU CAMP PART1

Ugawaji wa misahada kambini Nyarugusu. Lengo letu ni kusaidiya wenye uwitaji ndani ya kambi tofauti tofauti za wakimbizi barani Africa
Ikiwa utaguswa na ili na ungependa kujiunga nasi au kuchangia wasiliana nasi kwa number iyi +1(716)248-1070
Tafazali tusaidiye ku subscribe na kushare iyi video ili iwafikie watu wengi

Asante na Ubarikiwe
#nyarugusu

Комментарии

Информация по комментариям в разработке