UFANYE NINI MAOMBI YANAPO CHELEWA KUJIBIWA NA MUNGU (2PETRO 3:9)

Описание к видео UFANYE NINI MAOMBI YANAPO CHELEWA KUJIBIWA NA MUNGU (2PETRO 3:9)

1. Mungu hachelewi wala hawahi kujibu Maombi, bali hujibu kwa wakati (2 Petro 3:9).
2. Na ni shauku ya Mungu kujibu maombi yetu (Isaya 65:24, 1 Yohana 5:14-15, Yohana 14:13, 16:23-24,n.k). Kimsingi katika 2 Petro 3:9 biblia inasema Mungu huugua (longsuffering)
kwa kutokujibu maombi yetu.
3. Ni wazi toka maandiko haya mambo mawili hufanya tuone kuwa maombi yetu hayaja au yanachelewa kujibiwa;
(a). Namna au Njia tunayotumia kuomba.
(b). Wakati au Muda wa kujibiwa maombi.

Fuatana nasi katika somo hili ujifunze Mambo nane (8) yatakayo kusaidia kuvuka katika mambo hayo mawili na kupokea maombi yako sawasawa na mapenzi ya Mungu.

Комментарии

Информация по комментариям в разработке