NIMEKUTANA NA MUME WANGU ONLINE | UMBALI ULIVUNJA MAHUSIANO YETU KWA MWAKA MZIMA

Описание к видео NIMEKUTANA NA MUME WANGU ONLINE | UMBALI ULIVUNJA MAHUSIANO YETU KWA MWAKA MZIMA

Sporah ameeleza safari yake ya online dating ambapo ilikua na changamoto lakini alisimamia nia yake na kujua nini anataka

Alikutana na mume wake kupitia online lakini baadae umbali ulikua ni changamoto na kuweza kuvunja mahusiano
Baada ya mwaka kupita waliwasiliana tena na sasa wameoana na wanaishi Switzerland

Thanks Sporah for allowing this to be online

www.oda.international

Комментарии

Информация по комментариям в разработке