'Maromboso alikuwa hataki kabisa muziki mimi ndiye niliyemleta WCB' Rayvanny

Описание к видео 'Maromboso alikuwa hataki kabisa muziki mimi ndiye niliyemleta WCB' Rayvanny

Rayvanny kaelezea namna ambavyo alimleta Maromboso WCB ambapo kasema kuwa Maromboso alifika mahali akawa hataki kabisa muziki ndipo yeye akamtia moyo na kumwambia kuwa anaweza kufanya na ndipo Rayvany alipomfuata Diamond na kumshawishi kuhusu Maromboso.

Комментарии

Информация по комментариям в разработке