THITIMA ANTHEM - KYMO & STIGAH (OFFICIAL VIDEO)

Описание к видео THITIMA ANTHEM - KYMO & STIGAH (OFFICIAL VIDEO)

THITIMA ANTHEM LYRICS

Kikikel tugoi Tich
Makech kapilo

Siku moja huko mbinguni
Shetani leta nyokonyoko
Anataka geuza Serikal
Kumbe Sir Godi ako Rada
Mungu piga Shetani Radi
Nakwambia Shetani alishukishwa
Pamoja na mapepo zake
Akasikia kama prrrrrr Thitima

Goliatho jitu limekula Sembe
Daudi kijana kuchunga Mbus
Si siku moja bas wakapatana
Unadhani Goliatho atabonda Daudi
Goliatho kujia Daudi
Daudi kuchukua Jiwe (jiwe)
Chapa Goliatho nayo Kichwa
Goliatho kasikia kama Prrrrr Thitima

     Chesa ni kaa umepigwa radi Thitima ×2
O
     Uuuuuu ni Thitima, Ikibamba sana
     Sema Thitima ×2

Keit verse
Musa kagawanisha Maji Waisiraeli Wakapita Katitikati (Katikati)
Si Farao Akawafuata nyuma Akidhani Atawashika Eish
Si Mungu ni waajabu, Alingoja tu waisiraeli wapite (eish) Walipomaliza kupita!
Farao Aliskia kama prrrrrr Thitima!

Kumbuka Sodoma Gomora venye Ilikuwa Imejaa Dhambi (Wachana na Dhambi)
Si Mungu Kawambia Tubu (tubu!) Si Wakadhani ni mchezo (Mcheso)
Mungu Katumania Loti Kamwambia Atoke huko upes!( Haki yawa!)
Hata hakua Amefika mbali Sodom Gomora
Waliskia kama letterforms!

Комментарии

Информация по комментариям в разработке