Kundi la sungusungu ladaiwa kuuwa vijana watatu Mombasa

Описание к видео Kundi la sungusungu ladaiwa kuuwa vijana watatu Mombasa

Wasiwasi umetanda mtaani Shanzu Kisauni kaunti ya Mombasa baada ya vijana watatu kudaiwa kuuwawa na kundi lijulikanalo kama Sungusungu wakiandamana na chifu wa eneo hilo. Baadhi ya vijana walitaka kulipiza kisasi hii leo kabla ya viongozi kuwatuliza. Jamaa za waliouwawa wamekana kuwa vijana hao ni wahalifu.

Комментарии

Информация по комментариям в разработке