MASHINDANO YA QUR'AN YAMELETWA NA UADILIFU WA DKT. SAMIA/ NI YA KWAKO/ HESHIMA YA MWANAMKE NI KUBWA

Описание к видео MASHINDANO YA QUR'AN YAMELETWA NA UADILIFU WA DKT. SAMIA/ NI YA KWAKO/ HESHIMA YA MWANAMKE NI KUBWA

"Haya kwa ufupi ni mashindano yako, kwa sababu ni mashindano ya wanawake na wewe ni mama yetu. Tuna slogan yetu katika kuhamasisha watu kuhudhuria katika mashindano haya iliyokuwa ikisomwa inaitwa 'Mama ni Mlezi'. Kama mama ni mlezi, basi yalee mashindano haya, mama yetu na mgeni wetu rasmi. Mheshimiwa mgeni rasmi, heshima ya mwanamke ni kubwa katika Uislamu. Na ikawa ni bahati yetu sisi katika Dunia nzima imechaguliwa Tanzania ndio yaanze mashindano haya ya Qur'an. Hili ni jambo kubwa na neema kubwa ambayo Mwenyezimungu ameturuzuku, Sheikh Mkuu wa Tanzania, Abubakar Zubeiry.

--
Dar24 ni chanzo namba moja cha habari kwa watanzania mahali popote walipo duniani. Kwa habari za uhakika kutoka nyanja mbali mbali.

JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA DAR24 MEDIA:  +255 679 979 786
⚫️ Email: [email protected]
⚫️ Website: www.dar24.com
⚫️ Instagram: @Dar24news
⚫️ Facebook: @dar24
⚫️ Twitter: @Dar24News

Комментарии

Информация по комментариям в разработке