Mkristo hatakiwi kutoa Fungu la Kumi - Sehemu ya Pili

Описание к видео Mkristo hatakiwi kutoa Fungu la Kumi - Sehemu ya Pili

Mkristo lazima Aelewe Kuwa Kutoa Kwako Mbele Za Mungu Hauzalishi IMANI bali IMANI ndiyo inayomzalisha Mtoaji.

Utoaji Wetu Haupimwi Kwa Asilimia Bali kwa IMANI
Fungu La Imani Ndio Maelekezo Ya Mungu...

Na Lazima ujue Sadaka Hii mnayoita Fungu la Kumi Ni Ya Mungu Wala Sio Ya Mtumishi...

Комментарии

Информация по комментариям в разработке