Mtoto mwenye umri wa 12 afariki kutokana na uhaba wa oksijeni katika hospitali ndogo ya Molo

Описание к видео Mtoto mwenye umri wa 12 afariki kutokana na uhaba wa oksijeni katika hospitali ndogo ya Molo

Huduma za afya katika hospitali ya kaunti ndogo ya Molo huko Nakuru zimetatizika huku wagonjwa wakikosa huduma za maabara, x- ray, upasuaji na hata oksijeni.

Inaripotiwa kuwa mgonjwa mmoja mwenye umri ya miaka 12 amefariki wiki hii kutokana na uhaba wa oksijeni, wakaazi wakionesha gadhabu zao .

Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya

Комментарии

Информация по комментариям в разработке