Dr. Chris Mauki: Nini kinatokea pale unapomezwa na teknolojia na mitandao?

Описание к видео Dr. Chris Mauki: Nini kinatokea pale unapomezwa na teknolojia na mitandao?

Maendeleo ni mazuri ila yana athari zake. Mojawapo ya athari hizo ni pale teknolojia pamoja na mitandao inapo mmeza mtu na kuchukua muda wake mwingi. Athari ya jambo hili n kubwa kiafya, kijamii, kimalezi na kimahusiano. Tazama video hii uone uhalisia wa athari hizo kwako.
#DrChrisMauki#Mitandao#Teknolojia

Комментарии

Информация по комментариям в разработке