Afisa wa mahakama na hakimu Makadara wapigwa risasi na afisa wa polisi

Описание к видео Afisa wa mahakama na hakimu Makadara wapigwa risasi na afisa wa polisi

Jaji mkuu Martha Koome amefunga kwa muda mahakama ya makadara kufuatia kisa cha kupigwa risasi kwa afisa wa mahakama na hakimu katika mahakama hiyo na afisa wa polisi. Afisa huyo anadaiwa kughadhabishwa na uamuzi wa hakimu kuhusiana na kesi ya mkewe.


Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya

Комментарии

Информация по комментариям в разработке