Hatma ya Clatous Chama ndani ya Simba, Ahmed Ally atoa maelezo

Описание к видео Hatma ya Clatous Chama ndani ya Simba, Ahmed Ally atoa maelezo

“Unaweza kumuacha Chama halafu baadaye ukaanza kujuta” – Ahmed Ally kuhusu ishu ya kiungo wao Clatous Chama akifafanua sababu za kuchelewa kufanya maamuzi, asema hatma yake wanayo viongozi wa juu…. asisitiza “yule siyo mtu mchezaji wa kawaida”

Комментарии

Информация по комментариям в разработке