MKATE WA AJEMI/BWANA - KISWAHILI

Описание к видео MKATE WA AJEMI/BWANA - KISWAHILI

Mahitaji:
Mahitaji
Unga wa ngano vicombe 4 - 520 gms
Hamira kijiko 1 kikubwa - 17 gms
Baking soda kijiko cha chai 1 & 1/2 - 10.5 gms
Chumvi kijiko cha chai 1 & 1/2 - 9 gms
Maziwa ya mtindi kikombe 1
Maji nusu kikombe ( kwa kuzimua mtindi)
Mafuta vijiko 2 vikubwa
Yai 1

Комментарии

Информация по комментариям в разработке