Uganda yashtaki Kenya kwa kubadilishwa kwa mfumo wake wa usafirishaji wa mafuta

Описание к видео Uganda yashtaki Kenya kwa kubadilishwa kwa mfumo wake wa usafirishaji wa mafuta

Uganda imeishtaki Kenya ikitaka kubadilishwa kwa mfumo wake wa usafirishaji wa mafuta na kupewa fursa ya kutumia kampuni ya mafuta ya kenya pipeline. Uganda imewasilisha kesi kwenye mahakama ya jumuiya ya afrika mashariki ikitaka kenya kushikizwa kuipa nafasi kusafirisha mafuta yenyewe kutoka kenya hadi nchini humo.

Комментарии

Информация по комментариям в разработке