Hofu ya njia za uzazi wa mpango yasababisha wanawake kubeba ujauzito usiopangwa- WHO

Описание к видео Hofu ya njia za uzazi wa mpango yasababisha wanawake kubeba ujauzito usiopangwa- WHO

Utafiti mpya wa shirika la afya ulimwenguni, WHO, umebaini kuwa wanawake wanaohofia kutumia njia za uzazi wa mpango kwa sababu mbali mbali ikiwemo madhara yatokanayo na njia hizo, hujikuta wakipata mimba zisizotarajiwa na hivyo kusababisha madhara zaidi kwao wenyewe, watoto wao na hata jamii.

Комментарии

Информация по комментариям в разработке