Maswali mengi kuhusu uislam yaulizwa mjini Kilgoris... mfano, je wanawake wanaruhusiwa kusali?

Описание к видео Maswali mengi kuhusu uislam yaulizwa mjini Kilgoris... mfano, je wanawake wanaruhusiwa kusali?

wengi wanapenda kujua mambo mengi kuhusu uislam, kwanini tunatumia maji tukienda haja, kwanini hatusali pamoja na wanawake, kwanini hatushiki sabato, Adamu alikuwa dini gani na maswali mengi tu... ungana nasi katika mjadala huu tukifikisha ujumbe pamoja

Комментарии

Информация по комментариям в разработке