Omtatah na mawakili wawashtaki serikali, wakiomba mahakama iwachilie jamaa saba

Описание к видео Omtatah na mawakili wawashtaki serikali, wakiomba mahakama iwachilie jamaa saba

Mwanaharakati na Seneta wa Busia Okiya Omtata pamoja na mawakili Philip Lagat na Felix Keton wamewasilisha kesi mahakamani wakitaka jamaa saba waliotekwa nyara kuwachiliwa mara moja na kufikishwa kortini wakiwa hai au hata wakiwa wameaga.

Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya

Комментарии

Информация по комментариям в разработке