"MNAPIGA POMBE SANA HALAFU MNALALAMIKA MAISHA MAGUMU"-RC MWANRI

Описание к видео "MNAPIGA POMBE SANA HALAFU MNALALAMIKA MAISHA MAGUMU"-RC MWANRI

Mkuu wa mkoa wa Tabora Aggrey Mwanri amewataka wananchi kujikita katika shughuli za kujiletea maendeleo na kuacha kuwalalamikia viongozi

Akizungumza na wananchi wa kata ya Miswaki wilaya ya Uyui katika ziara ya ukaguzi wa barabara zilizochini ya TARURA amesema "maana ya kulalamika ni kwamba umechoka kufikiria" RC MWANRI

Комментарии

Информация по комментариям в разработке