UADUI WA FAMILIA KISA MZUNGU | NILIKUA NABANDUKA NGOZI | NIMEBAKI NALEA MTOTO MWENYEWE

Описание к видео UADUI WA FAMILIA KISA MZUNGU | NILIKUA NABANDUKA NGOZI | NIMEBAKI NALEA MTOTO MWENYEWE

Chendwa ameeleza Safari yake ilipoanza kuingia mahusiano na Mzungu, changamoto alizokutana nazo kwenye Safari hii, Uadui kutoka kwa ndugu na kuingia kwa nguvu za giza.

Changamoto za uzazi na kuvunjika kwa safari yake ya kwenda Ulaya baada ya Mzungu wake ambae ndio baba wa mtoto wake kupata kiharusi cha ghafla.

Комментарии

Информация по комментариям в разработке