JOHN MREMA APANGUA MASWALI YA SALIM KIKEKE AFAFANUA HOJA YA TUNDU LISSU KUSEMA CHADEMA SIO MAMA YAKE

Описание к видео JOHN MREMA APANGUA MASWALI YA SALIM KIKEKE AFAFANUA HOJA YA TUNDU LISSU KUSEMA CHADEMA SIO MAMA YAKE

Akijibu maswali ya Mwandisho wa habari kutoka Crown Media Salim Kikeke Mkurugenzi wa Mawasiliano, Itifaki na Uenezi Mhe John Mrema ameeleza kuwa Kikao cha Kamati Kuu ni kikao cha kawaida cha kikatiba na kujadili hali ya kisiasa nchini na wala hakijadili swala la aliyekuwa mwanachama Mchungaji Peter Msigwa

Комментарии

Информация по комментариям в разработке