RIDHIWAN AIBUKA NA MASHINDANO YA JIMBO CUP CHALINZE

Описание к видео RIDHIWAN AIBUKA NA MASHINDANO YA JIMBO CUP CHALINZE

Mashindano mawili ya mpira wa miguu yaliyopewa jina la ligi ya mashule na ya mbunge "jimbo cup" yamepangwa kuanza kutimua vumbi katika viwanja mbalimbali katika Halmashauri ya Chalinze Mkoani Pwani. Mbunge wa jimbo la Chalinze Ridhiwan Kikwete amesema kuwa mashindano hayo yana lengo la kuongeza uibuaji wa vipaji vya soka ndani ya eneo hilo na kwamba yataanza wakati wowote mwezi ujao baada kuundwa kamati zitakazosimamia mashindano hayo jimbo humo.

Комментарии

Информация по комментариям в разработке