Alichoongea Rais Magufuli kwa Babu Seya na watoto wake Ikulu leo

Описание к видео Alichoongea Rais Magufuli kwa Babu Seya na watoto wake Ikulu leo

Jumanne ya January 2 2017 mwanamuziki Nguza Vicking maarufu kama Babu Seya na watoto wake watatu Johnson Nguza (Papii Kocha), Francis Nguza na Michael Nguza walimtembelea Rais Magufuli Ikulu Dar es Salaam na kumshukuru kwa kuwatoa gerezani kwa msamaha wa Rais. Rais Magufuli alitangaza kuwatoa gerezani wafungwa mbalimbali kwa msamaha wa Rais siku ya maadhimisho ya miaka 56 ya Uhuru wa Tanzania December 9 2017 wakiwemo Papii Kocha na Nguza Vicking ambao leo wamefika Ikulu kumsaliamia.

Комментарии

Информация по комментариям в разработке