SIMBA TV 18/09/2024 | Burudani mechi ya Al Ahly Tripoli dhidi ya Simba, Kocha Fadlu atoa tamko

Описание к видео SIMBA TV 18/09/2024 | Burudani mechi ya Al Ahly Tripoli dhidi ya Simba, Kocha Fadlu atoa tamko

Tazama burudani ya mechi ya mkondo wa kwanza wa Kombe la Shirikisho kati ya Al Ahly Tripoli dhidi ya Simba SC uliopigwa nchini Libya Septemba 15.

Kocha Fadlu Davids atoa msimamo kuelekea mechi ijayo itakayopigwa Jumapili ya Septemba 22.

Meneja habari na Mawasiliano wa Simba, Ahmed Ally naye ametoa wito kwa mashabiki kwenda kuujaza uwanja wa Benjamin Mkapa

Комментарии

Информация по комментариям в разработке