VITU VIDOGO || Kenhut Youth Choir (Official Video)

Описание к видео VITU VIDOGO || Kenhut Youth Choir (Official Video)

Composed by: Sharon Johnson
Video produced by: Enovarts Creatives
Director: Leyman
Sang by: Kenhut Youth Choir
Gmail: [email protected]

LYRICS
Hivi vitu vidogo dogo vitakukosesha mbinguni hivi vitu vidogo dogo vitakukosesha ufalme macho ya kiburi mikono imwagayo damu ile isiyo na hatia ulimi wa kuwasema sema sema wale ndugu zako shahidi wa uongo miguu miepesi kukimbilia uovu na moyo uwazao mawazo mabaya ndivyo machukizo kwa mungu

Umepumbazwa na vya dunia muovu amekutega ukapendezwa na vya dunia hii ukamsahau Mwokozi umefananishwa na wanawali watano waliokosa mafuta taani mwao Bwana harusi akaja wakafungiwa nje

Fanya hima nawe mkristo katika safari hii usije potea bali tunza kanuni Zayuni kuna mengi yaliyo andaliwa kwa jili ya walioshinda dunia jitahidi ufike pale makao ya washindi

Комментарии

Информация по комментариям в разработке