Jinsi ya kupika mikate mitamu ya biashara na nyumbani- Recipe kamili

Описание к видео Jinsi ya kupika mikate mitamu ya biashara na nyumbani- Recipe kamili

Jinsi ya kupika skonzi ( bread rolls or buns) za biashara ya kukuingizia kipato au kula nyimbani.

Mahitaji:
Hamira (yeast) kijiko 1 kikubwa
Unga nusu kilo (500g)
Maji 150 ml au zaidi
Mayai makubwa 2
Siagi (butter/margarine) vijiko vikubwa 2
Mafuta ya kupika kijiko kikubwa 1
Chumvi nusu kijiko kikubwa
Sukari vijiko vikubwa 4 (2 pia vinafaa)
Maziwa ya unga vijiko vikubwa 3
Changanya maziwa na maji kidogo kwa ajili ya kupaka juu ya mikate yako.

-Choma moto wa 170 kwa dakika 18 hadi 20
-Moto wa juu na chini
-Washa oven ipate moto dakika 10 kabla ya kutia mikate yako

Комментарии

Информация по комментариям в разработке