Matukio ya ukatili, utekaji yaibua mjadala mkali

Описание к видео Matukio ya ukatili, utekaji yaibua mjadala mkali

Uwajibikaji na uchunguzi wa matukio ya ukatili pamoja na kupotea kwa watu umeendelea kushinikizwa na wadau mbalimbali ikiwa ni hatua ya kurejesha imani kwa wananchi.

Hayo yanajiri siku moja tu baada ya aliyekuwa kada wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na Mjumbe wa Sekretarieti ya chama hicho, Ali Mohamed Kibao kuuawa na mwili wake kupatikana eneo la Tegeta Ununio, jijini Dar es Salaam.

#AzamTVUpdates
Mhariri | Sabina Ntobi, John Mbalamwezi

Комментарии

Информация по комментариям в разработке