Esther Bulaya amdondoshea Mwanae Party ya nguvu, Mdee anogesha

Описание к видео Esther Bulaya amdondoshea Mwanae Party ya nguvu, Mdee anogesha

Mbunge wa Bunda mjini Ester Bulaya amefanya Party ya kumpongeza Mwanae Briton kwa kuhitimu elimu yake ya msingi ambapo amewaalika ndugu na marafiki wake wa karibu kujumuika pamoja chakula cha jioni nyumbani kwake Mbweni Dar es salaam.

Комментарии

Информация по комментариям в разработке