Yanga SC 4-1 Azam FC | Highlights | Fainali | Ngao ya Jamii 11/08/2024

Описание к видео Yanga SC 4-1 Azam FC | Highlights | Fainali | Ngao ya Jamii 11/08/2024

Magoli matano yamefungwa, Yanga ikishinda 4-1 dhidi ya Azam Fc katika mchezo wa fainali #NgaoYaJamii2024 ikipigwa kwenye Dimba la Benjamin Mkapa, Dar s Salaam.

Magoli ya Yanga yametoka kwa Prince Dube 19', Yoro Diaby 28' goli la kujifunga, Stephane Aziz Ki 31' na Clement Mzize 90’+3 , huku Azam FC wakitangulia kwa goli la Feisal Salum Feitoto 13'.

Комментарии

Информация по комментариям в разработке