zilipendwa, Tanzania yetu

Описание к видео zilipendwa, Tanzania yetu

Tanzania yetu ni wimbo wa zamani hapa Tanzania ulioimbwa na vijana wa Atomic Jazz band miaka ya 60, hapa imefanyiwa mixing kidogo kuonesha Viongozi wa chama Tawala wanavyohirikiana na Wapinzani, Tanzania ni yetu sote tuilinde CCM, CHADEMA, CUF, etc sote ni wamoja tumesoma pamoja na tumekuwa pamoja tusigombane,tusishikiane bunduki inapendeza sana tunavyokuwa tukicheka pamoja!

Комментарии

Информация по комментариям в разработке