Sio kila mimba itaharibika kuna muda utazaa mtoto mzuri - Steve Nyerere

Описание к видео Sio kila mimba itaharibika kuna muda utazaa mtoto mzuri - Steve Nyerere

Msanii wa Filamu nchini Tanzania Steve Nyerere ameitabiria makubwa timu ya Taifa ya Senegal badaa ya timu ya Nigeria kutolewa katika michuano ya Kombe la Dunia na Argentina.

'Sio kila mimba itaharibika kuna siku utazaa mtoto mzuri' Steve ameyasema maneno hayo akimaanisha kutolewa kwa Nigeria haina maana Senegal pia itatolewa.

Комментарии

Информация по комментариям в разработке