Historia ya TMK wanaume family hadi kusambaratika

Описание к видео Historia ya TMK wanaume family hadi kusambaratika

Miongoni mwa makundi makubwa ya Bongo flava hapa nchini Tanzania ni pamoja na kundi la Tmk wanaume famili.
Kundi hili lilikuwa likiundwa na Juma Nature, Chege, Temba, Yp, Y Dash na wengineo wengi.
kundi hili liliweza kuachia vibao vingi vikiwemo Barua, Twenzetu, Dar mpaka moro, Kamanda, nyumbani ni nyumbani, mzee wa Busara, tatu bila nk.

Kundi hili mara nyingi limekuwa likilinganishwa na kundi la Watu pori ambalo liliundwa na Ditto, Afande Sele,

Комментарии

Информация по комментариям в разработке