KRISTO KAZALIWA BY CAISER THADEUS

Описание к видео KRISTO KAZALIWA BY CAISER THADEUS

1.Tumetazama angani na tumeona mashariki, umeangaza dunia nzima mwanga wa furaha ni mwanga wa upendo mwanga wa nyota ya pekee, iliyo na ishara ya uongozi tujongee…
2.Na Mamajusi nao pia wamekuja na zawadi wamezibeba dhahabu ubani pia manemane, ni mfalme wa ulimwengu na mtukufu kazaliwa ni mkombozi wa sote sisi wadhambi tukombolewe

CHORUS: Ni Kristu Yesu mwana wa Mungu amezaliwa *2 Kwenye zizi la ng’ombe Kristu kazaliwa mwana *2, mkombozi wa dunia amezaliwa kule Bethlehemu.

Tenor Bass: Tumekombolewa
Sop: Alto: Na Yesu Kristu (mwana) wa Mungu
Tenor Bass: Na Yesu Kristu (mwana) wa Mungu

Комментарии

Информация по комментариям в разработке