FUNDI WA LOCAL CAGES/KEJI ZA KUFUGA KUKU ZA GHARAMA NAFUU

Описание к видео FUNDI WA LOCAL CAGES/KEJI ZA KUFUGA KUKU ZA GHARAMA NAFUU

MIMI NI FUNDI WA LOCAL CAGES NIPIGIE

KEJI ZA MKULIMA SMART ZINAPENDWA NA WAFUGAJI WA KUKU TANZANIA

LOCAL CHICKEN CAGES MADE IN TANZANIA 2023

LOCAL KEJI ZA MKULIMA SMART NI MKOMBOZI KWA WAFUGAJI WA KUKU TANZANIA

KEJI YA KUKU 2000 YA MTEJA INAVYOZUIA MAGONJWA YA KUKU

FAIDA 12 ZA BATTERY CAGE ZINAZOTENGENEZWA NA MKULIMA SMART
KEJI ZA MBAO
FAIDA NA HASARA ZA KUTUMIA Battery Cage System - Poultry Farming Equipment ZA KUTOKA CHINA NA LOCAL CAGE/KEJI ZA KUTENGENEZEA TANZANIA

UFUGAJI WA KUKU KWA KUTUMIA CAGE/KEJI ZA GHARAMA NAFUU
MFUGAJI ANZA KUFUGA KUKU KWA KUTUMIA CAGE/KEJI ZINAZOTENGENEZWA TANZANIA
#mkulimasmart #shambadarasa
Cage za kuku wa mayai
Cage za kuku wa mayai
Cages za kuku wa kienyeji
Cages za kuku wa kienyeji
Cage za vifaranga
Cage za vifaranga

Mabanda ya kuku ya mbao

bei ya cage za kuku
jinsi ya kutengeneza cages za kuku
bei za cages za kuku wa mayai
wauzaji wa cages tanzania

FAIDA 7 ZA KUTUMIA CAGES (Mabanda ya Kisasa) KUFUGIA KUKU.
1. Cages husaidia kuimarisha Afya za kuku wako, wafugaji wengi hawapati matokeo mazuri katika ufugaji wao kwasababau wamepuuzia matumizi ya Cages.
Cages husaidia sana kuwatunza kuku katika mazingira mazuri yenye kuimarisha afya zao.
Cages zimetengenezwa katika namna ambayo zina sakafu ya wavu,
Inamaana kuku wakinya mbolea inaangunga chini na wao wanabaki wasafi, na hii inapeleka kupunguza magonjwa yatokanayo na vidudu vilivyo kwenye mbolea.
Hii itapelekea kuku wako kuwa na afya njema zaidi.
2. Cages husaidia Kuongezeka kwa Uzalishaji wa mayai na kuraisiha ukusanyaji wake.
Kuku wenye afya wanauwezo mkubwa wa kuzalisha zaidi, mayai au nyama, kama watafugwa kwenye mazingira yenye kujenga afya zao.
Kufuga kuku kwenye cages hupelekea ongezeko la uzalishaji wa mayai kwa kiasi kikubwa.
3. Cages husaidia kuwalisha kuku chakula kulingana na mahitaji yao.
Mfumo wa ulishaji na unyweshaji wa cages ni mzuri na wakisasa,
Mfumo huo huhakikisha kuku wanapata chakula kwa kipimo sahihi kulingana na idadi yao.
Hii ni kutokana na sababau kwamba kuku hupata chakula kutoka kwenye bomba lefu na kunywa maji kupitia mfumo wa nipples ambazo zipo karibu yao.
4. Cages hupunguza gharama za wafanyakazi wa kuwahudumia kuku.
Kwa kutumia cages ni rahisi zaidi kuwahudumia kuku, kuliko ufugaji wa kawaida.
Hii ni kutokana na sababu kwamba kwenye cages kuku wanapangwa kwenye mpangilio maalumu.
Katika mistari wakiwa na mfumo mzuri wa chakula na maji, ukusanywaji wa mbolea, na ukusanyaji wa mayai katika sehemu sahihi.
Sababu kuu ikiwa ni kwamba kila kitu kimeshapangwa vizuri.
Mfanyakazi / wewe mfugaji utakuwa na kazi ya kumimina chakula na maji sehemu husika kwenye cages na kusafisha na kuondoa mbolea na kukusanya mayai tu!
Hii itakuondolea msongo wa mawazo wewe mfugaji na kuondoa ulazima ya kuajiri wafanyakazi wengi.
5. Cages husaidia kupunguza kiasi cha chakula kinacho haribika/haribiwa na kuku.
Katika cages kuna mfumo mzuri wa chakula na maji amboa husaidia kupunguza kwa kiasi kikubwa mno kiasi cha chakula kinacho haribika.
6. Cages husaidia kutunza kuku wengi katika eneo dogo.
Hii inamaana kwamba cages zitakusaidia kupunguza gharama za ujenzi na kuongeza utumiaji wa nafasi iliyopo.
Cages zipo cages za Vifaranga 400, Kuku 96, Kuku 128 nk. itategemeana na idadi ya kuku wako.
7. Cages husaidia kupunguza changamoto ya Wizi wa Kuku na Mayai.
Hii ni kutokana na urahisi wa kuwahesabu Kuku ndani ya Cages.
Hakika Cages zinamanufaa makubwa kwako wewe mfugaji.
UFUGAJI WA BROILER KWENYE CAGE

UFUGAJI WA KUKU KISASA:Nunua cage za kuku/vifaranga ...
taalamu wa mabanda ya kisasa (cages)

FAIDA 7 ZA KUTUMIA CAGES (Mabanda ya Kisasa)


Punguzo la bei, cages za kufugia kuku -
Faida za Kutumia Cages Kufugia Kuku
TUNAUZA POULTRY CAGE | CAGE ZA KUFUGIA KUKU WA MAYAI Aina za cage: Zipo cage za kuku 96 na cage za kuku 128 Umuhimu
bei za cages za kuku
jinsi ya kutengeneza cages
wauzaji wa vifaranga vya kuroiler
keji za kuku
bei ya mabanda ya kuku
bei ya kuku wa mayai

Комментарии

Информация по комментариям в разработке