MTU AGEUKA KIBOKO ALBINO I ALIKAIDI MASHARTI PINDIRO | VIVUTIO VYA UTALII

Описание к видео MTU AGEUKA KIBOKO ALBINO I ALIKAIDI MASHARTI PINDIRO | VIVUTIO VYA UTALII

#CloudsDigital tumekuwekea kisanga kilichotokea Kilwa Kusini, Katika hifadhi ya Pindiro ilioko Kilwa kusini mwa Tanzania kunapatikana Viboko weupe wenye Ualbino ambapo kwa mujibu wa waongoza watalii anasema historia ya viboko hao inatokana na mwanaume mmoja alietambulika kwa jina la Chimombo aliekaidi masharti ya wana kijiji na kwenda kuvua samaki ziwa nyange ambapo aligeuka kuwa Boko.

VIBOKO hao wenye Ualbino ni moja ya vivutio vya utalii vilivyopo katika Mikoa ya kusini mwa Tanzania.

Kwa mujibu wa Muongoza watalii bwana Omary, anasema asili ya viboko hao wenye ualbino ni binadamu aliyeitwa Mzee Chimombo ambaye pia alikuwa na ulemavu wa Ngozi (Ualbino)

Комментарии

Информация по комментариям в разработке