Kivumbi Episode 2

Описание к видео Kivumbi Episode 2

Tatu matope amuweka mumewe(Beka) kwenye wakati mgumu. Jaja azama kwenye penzi la kikongwe. Tatu matope awa kituko wa mawifi zake wkati Pas anajiweka kwenye hatari. Suzy naye bado ni kichomi kwenye nyumba yake.
Unaweza kutazma Episode 1 hapa    • Kivumbi Episode 1  

SUBSCRIBE NOW!!

Комментарии

Информация по комментариям в разработке