HABARI ZA YESU (OFFICIAL VIDEO)

Описание к видео HABARI ZA YESU (OFFICIAL VIDEO)

Kwaya ya Mt. Gregory Mkuu - Kristo Mfalme - Moshi. Wajulisheni watu 'Habari Za Yesu, Habari za utukufu, ziwafikie wote.' Huo ni wajibu wa kila aliyebatizwa. Kutanganza na kueneza habari njema za Yesu Kristo. Ni Ujumbe kutoka kwaya ya Mt.Gregory Mkuu, Parokia ya Kristo Mfalme - Moshi, Jimbo Katoliki Moshi. Wimbo huu ni Utunzi wake Mussa Charles Mabogo.

Tunawaalika kusikiliza na kutazama wimbo huu na ikawe fursa kwa kila mmoja wetu kushiriki katika kutangaza habari njema za Yesu Kristo.
Audio na Video vimefanyika katika studio za RAJO Productions. KARIBUNI.

Kwa mawasiliano na kwaya hii, tumia namba zifuatazo;
+255 763 600 793 au +255 784 551 089

This song is about Spreading The Gospel of Jesus Christ to the whole world. Let the world get to hear about Jesus Christ. Telling the world about Jesus Christ. With the sweet melody and well arranged music from one among the best catholic choirs in Tanzania, you are invited to listen and watch this video from St.Gregory Choir in Moshi - Kilimanjaro.

Tuyasikilize Maneno Matamu ya wimbo huu wa kwaya katoliki, Wimbo ulio bora, kisha kwa kubarikiwa kwetu Bwana Yesu Mimina Neema zako kwa kila mmoja wetu, Shusha Baraka zako na Mwisho maisha yetu yakajazwe na Neema ya Mungu. Bwana Unibadili niyaache yote na ninapozisikia habari zako, Moyo wangu ukufuate wewe milele. Enyi mataifa, Mshukuruni Bwana. Amina.
#kwayakatoliki

Комментарии

Информация по комментариям в разработке