Je, Simba SC inahitaji muda zaidi ili kuimarika? Uchambuzi wa Baruan Muhuza

Описание к видео Je, Simba SC inahitaji muda zaidi ili kuimarika? Uchambuzi wa Baruan Muhuza

Mtangazaji Mkongwe na Mkuu wa UFM Radio, Baruan Muhuza anaiangazia Simba Sports Club baada ya kuanza kwa msimu wa 2024 / 25 wa NBC Premier League.

Simba SC imepata ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Tabora United kwenye mchezo wa kwanza wa NBCPL lakini kuna minong'ono kuwa bado ubora wa Simba SC una mashaka?

Jicho la Muhuza linaonaje?

Msikilize

Комментарии

Информация по комментариям в разработке