REKODI ZA KOCHA WA SIMBA: HUJAWAHI ZISIKIA POPOTE...

Описание к видео REKODI ZA KOCHA WA SIMBA: HUJAWAHI ZISIKIA POPOTE...

#KochaMpyaSimba #FadloDavids #Rekodi

Fadlu Raghman Davids alizaliwa Tarehe 21/05 mwaka 1981 katika mji wa Cape Town; nchini Afrika ya kusini, na kimahesabu ana miaka 43. Hii inamfanya kuwa miongoni mwa makocha wenye Umri Mdogo kuaminiwa katika klabu kubwa kama SImba. Fadlu ni kocha mwenye leseni Ya Juu Kutoka CHAMA CHA SOKA BARANI ULAYA, yaani UEFA PRO LICENCE, Leseni ambayo ameipata mwezi wa 5 Mwaka huu huko Northen Ireland.

Unaweza Ona ni kawaida lakini Kuipata Leseni ya juu zaidi kama hii, Fadlu ilimchukua zaidi ya miaka 9; JASHO, MAPAMBANO NA Uvumilivu Vilihitajika zaidi.
Ni rasmi sasa Fadlu ni kocha wa SImba kwa Mkataba wa Miaka Miwili akichukua mikoba ya Kocha wa Muda Juma Ramadhani Mgunda.

Maswali mengi ninayokutana nayo ni je FadlU ni kocha Wa aina gani? Wengi wanauliza kwanini simba wameamua kuwa na Kocha Mdogo kiumri na Uzoefu? Leo nataka nikupe rekodi za Kocha Fadlu Davids; rekodi hizi huenda hujawahi zisikia popote pale. Kupitia rekodi hizi Nitajibu swali je Fadlu ni kocha Mdogo kama Anavyosemwa au ni kocha Mkubwa? Bila kupoteza muda acha Tuanze..

TUMEDHAMINIWA NA PELEGRINO SANITARIUM CLINIC
Hawa ni mabingwa wa kutibu Magonjwa Sugu kama; Kisukari, Kansa, Ukimwi, Presha, Tezi Dume na magonjwa yote Yanayokusumbua..
Kwa mawasiliano zaidi piga simu Namba...
0747 805 550.

JE UNAZIFAHAMU VIDEO ZANGU BORA ZAIDI? TAZAMA HIZI HAPA..

1. Yanga Baada ya Usajili: Kikosi chake cha Kwanza Hatari zaidi.    • BAADA YA USAJILI: "KIKOSI CHA KWANZA ...  
2. Baada ya Usajili: Huu ndio Usajili Bora zaidi kwa Simba.    • KIUFUNDI: USAJILI BORA ZAIDI KWA SIMB...  
3. Kabla ya Pre - Season: Simba wanatakiwa Kufanya Jambo hili Muhimu.    • KABLA YA PRE-SEASON: SIMBA IKAMILISHE...  
4. UKWELI: KUHUSU KIWANGO HALISI CHA STEVEN MUKWALA | MSHAMBULIAJI MPYA SIMBA.    • UKWELI: KUHUSU KIWANGO HALISI CHA STE...  
5. USAJILI WA CHAMA YANGA: UNA 'MAANA KUU 7' | TAZAMA KWA UMAKINI VIDEO HII.    • USAJILI WA CHAMA YANGA: UNA 'MAANA  K...  
6. KIUFUNDI: MAENEO 8 YA USAJILI SIMBA | MO AMEAMUA...
   • KIUFUNDI: MAENEO 8 YA USAJILI SIMBA |...  

JE UNGEPENDA KUTANGAZA BIASHARA YAKO SOCCERDATA KWA BEI NAFUU? KUWA SEHEMU YA WADHAMINI WETU TUKUTANGAZIE BIASHARA YAKO NA IWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.
(MAWASILIANO)
0710 679 388
0627 532 401
Email: soccerdata01‪@gmail.com‬

KAMA MDAU, TUNAKUOMBA UCHANGIE UNUNUZI WA VIFAA VYA UZALISHAJI.

Saidia Ununuzi wa Vifaa vya Uzalishaji vitakavyorahisisha Kazi na kuongeza Ubora wa Uchambuzi.
SoccerData inahitaji Vifaa VITATU vya kuanzia Vinavyogharimu Shilingi 4.7 M ambavyo Ni;

1. Video Camera
2. Computer
3. Condenser Microphone.

Changia Kiasi chochote Ulichonacho kupitia;

TIGOPESA: 0710 679 388
HALOPESA: 0627 532 401
(Jina : Sekwao Mwendi)

BANK ACCOUNT.
CRDB BANK.
SEKWAO MOHAMEDI MWENDI
0152235925700


Lakini pia kwa Mawasiliano zaidi, Wapigie SoccerData kwa Namba hizo.
____________________________


KARIBU KATIKA MITANDAO YETU YA KIJAMII;

FACEBOOK:   / soccerdata  
INSTAGRAM:   / soccerdata_tz  

JE UNGEPENDA KUWA SEHEMU HALISI YA SOCCERDATA? JISAJILI KAMA MEMBERSHIP LEO UPATE ZIADA YA UCHAMBUZI...
   / @soccerdata.  

SOCCERDATA KARIBUNI SANA...

Комментарии

Информация по комментариям в разработке