Nyumba Nzuri sana ya Biashara Inauzwa Mwatano- Mipango Dodoma

Описание к видео Nyumba Nzuri sana ya Biashara Inauzwa Mwatano- Mipango Dodoma

Ina kiwanja chenye ukubwa wa sqm 1638
ina flame za biashara 16
nyumba tatu ,kubwa ikiwa na bedroom 5
servant quarters mbili 2
ipo karibu na chuo cha mipango, capital na city health college

kuona nyumba ni buree, wasiliana nasi leo kupitia +255742592704

uweze kumiliki nyumba hii ya biashara
karibu sana

Комментарии

Информация по комментариям в разработке