#MadeinTanzania

Описание к видео #MadeinTanzania

Pumba itokanayo na Nafaka zinazozalishwa Tanzania ni bidhaa adimu inayouzwa nje ya nchi kama Pakistan, India, China, Nchi nyingi katika bara la Asia.


Yote yanawezekana, Kaa tayari kuzijua Fursa zitokanazo na pumba ya Nafaka na Namna zinavyotengenezwa kwa undani zaidi ndani ya #MadeinTanzania #Xtrememedia

Usikose kufuatilia Made in Tz Show katika Clouds TV
Kila Jumatano saa 2 na Nusu Usiku:
Kila Jumapili saa 1 Jioni (Marudio)

SUBSCRIBE CHANNEL HII KUPATA INFOS ZAIDI!!!

Комментарии

Информация по комментариям в разработке