MITIMINGI # 162 - TABIA ZA WAZAZI WANAOWALEA WATOTO WAO KIMABAVU NA MADHARA YAKE

Описание к видео MITIMINGI # 162 - TABIA ZA WAZAZI WANAOWALEA WATOTO WAO KIMABAVU NA MADHARA YAKE

- Usimuadhibu mtoto mbele za wageni au watoto wenzake, utaacha emotion damage ndani yake.

- Usiwalinganishe watoto kwa kumsifia aliyefanya vizuri na kumsema vibaya aliyefanya vibaya kwa kumlinganisha na aliyefanya vizuri.

- Watoto hutofautiana mfano mtoto aliye zaliwa kwa OPARATION hawezi kuwa sawa na mtoto aliyezaliwa kwa njia ya kawaida kiakili.

- Wazazi kama hawa huawaadhibu watoto kwa hasira na sio kwa upendo na mara nyingi hutumia vifaa visivyo sahihi katika kutoa adhabu hizo.

Комментарии

Информация по комментариям в разработке