SEHEMU YA 1 - KUTEGUA KITENDAWILI CHA UTOAJI WA ZAKA KATIKA AGANO LA NEEMA1 - Pastor Carlos Kirimbai

Описание к видео SEHEMU YA 1 - KUTEGUA KITENDAWILI CHA UTOAJI WA ZAKA KATIKA AGANO LA NEEMA1 - Pastor Carlos Kirimbai

Karibu kushiriki ibada kanisa la MANNA TABERNACLE BIBLE CHURCH (MTBC). Kanisa linakutanika Posta mpya mtaa wa kisutu jijini Dar es salaam, Ukumbi wa shule ya msingi Kisutu. Tunakutana kila jumapili kuanzia saa 4 asubuhi mpaka saa 7 mchana. Tunashawishika kukutangazia Maisha yako hayatabaki kama yalivyokuwa.

Комментарии

Информация по комментариям в разработке