#TBC1

Описание к видео #TBC1

Kipindi Hiki Cha Wekeza Tanzania kinakuletea uwekezaji wa kiwanda Cha kusindika Maziwa Cha Mbeya Milk kilichopo eneo la Soweto Kwa lengo la kujionea juhudi za Uwekezaji zinazofanywa na wawekezaji mbalimbali

Mtangazaji - Vumilia Mwasha
Mwongozaji - Neligwa Muggitu
Mdhamini - AZANIA BANK

Комментарии

Информация по комментариям в разработке