Falsafa ya Benjamin MKapa Foundation inavyobeba maono ya Rais Mstaafu Benjamin Mkapa

Описание к видео Falsafa ya Benjamin MKapa Foundation inavyobeba maono ya Rais Mstaafu Benjamin Mkapa

Daktari Syricus Buguzi, mwandishi wa habari za kisayansi, amepongeza falsafa za Taasisi ya Benjamin Mkapa Foundation (BMF) kwa mchango wake mkubwa katika kusaidia serikali kufanikisha malengo yake. BMF imekuwa mstari wa mbele katika kuboresha huduma za afya ya msingi kupitia watoa huduma wa afya ngazi ya jamii. Falsafa hii inaendana na maono ya Rais Mstaafu Benjamin Mkapa, aliyesisitiza serikali kujikita kwenye majukumu yake ya msingi, huku sekta binafsi ikifanya uwekezaji, ubunifu, na kushirikiana na serikali. Katika hilo, BMF imekuwa mfano bora wa mafanikio.

Комментарии

Информация по комментариям в разработке