A - Z Hotuba ya Mbowe, Rasmi Sasa Kuwania Uenyekiti CHADEMA. 'Simuogopi Lissu'

Описание к видео A - Z Hotuba ya Mbowe, Rasmi Sasa Kuwania Uenyekiti CHADEMA. 'Simuogopi Lissu'

Ameyasema hayo leo alipokuwa akizungumza na Wahariri wa Habari nyumbani kwake Mikocheni Dar es Salaam wakati akitangaza kuwania tena muhula wa miaka mitano mingine ya kuiongoza CHADEMA na kama akifanikiwa kushinda anaweza historia ya kuiongoza CHADEMA kwa miaka 25 mfululizo.

Комментарии

Информация по комментариям в разработке