Logo video2dn
  • Сохранить видео с ютуба
  • Категории
    • Музыка
    • Кино и Анимация
    • Автомобили
    • Животные
    • Спорт
    • Путешествия
    • Игры
    • Люди и Блоги
    • Юмор
    • Развлечения
    • Новости и Политика
    • Howto и Стиль
    • Diy своими руками
    • Образование
    • Наука и Технологии
    • Некоммерческие Организации
  • О сайте

Скачать или смотреть NOMA! TRAORE WA BURKINAFASO AJITOSA|VITA IRAN NA MAREKANI|TAZAMA ALICHOSEMA.

  • Yuhoma Tv Media
  • 2026-03-03
  • 3451
NOMA! TRAORE WA BURKINAFASO AJITOSA|VITA IRAN NA MAREKANI|TAZAMA ALICHOSEMA.
  • ok logo

Скачать NOMA! TRAORE WA BURKINAFASO AJITOSA|VITA IRAN NA MAREKANI|TAZAMA ALICHOSEMA. бесплатно в качестве 4к (2к / 1080p)

У нас вы можете скачать бесплатно NOMA! TRAORE WA BURKINAFASO AJITOSA|VITA IRAN NA MAREKANI|TAZAMA ALICHOSEMA. или посмотреть видео с ютуба в максимальном доступном качестве.

Для скачивания выберите вариант из формы ниже:

  • Информация по загрузке:

Cкачать музыку NOMA! TRAORE WA BURKINAFASO AJITOSA|VITA IRAN NA MAREKANI|TAZAMA ALICHOSEMA. бесплатно в формате MP3:

Если иконки загрузки не отобразились, ПОЖАЛУЙСТА, НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если у вас возникли трудности с загрузкой, пожалуйста, свяжитесь с нами по контактам, указанным в нижней части страницы.
Спасибо за использование сервиса video2dn.com

Описание к видео NOMA! TRAORE WA BURKINAFASO AJITOSA|VITA IRAN NA MAREKANI|TAZAMA ALICHOSEMA.

Jeshi la iran limetangaza msururu wa mafanikio makubwa katika kile imeeleza kumuangamiza mdhalimu marekani.
Katika taarifa iliyotolewa na jeshi la iran kupitia msemaji wa vikosi vya walinzi wa mapinduzi ya kiislamu irgc imeeleza ya kwamba jeshi la iran limefanikiwa moja kwa moja kuwaangamiza wanajeshi Zaidi ya 650 katika siku mbili mfululizo za vita baina ya iran na marekani.
Msemaji wa irgc akiendelea kutoa taarifa hiyo liyoitaja kuwa ya mafanikio amesema kwamba iran mafikisha pia kudungua na kusambaratisha moja kwa moja ndege vita za marekani zilizokuwa zilizokuwa zikinyemelea anga lake na maeneo jiran.
Katika kuzimwa kwa jaribio hilo la ndege vita za marekani pia msemaji huyo wa irgc amesema mbali na kudungua ndege hizo pia jeshi kile ameliita imara la iran limedondosha dege kubwa la kivita la marekani lenye ukubwa sawa na uwanja wa mpira wa miguu katika anga la mashariki ya kati.
Pia jeshi limebainisha kushambulia uwanja wa ndege wa dubai emirates airline katika shambulio lake la mapema ambapo safari za anga dubai zimefungwa kwa sasa.
Sanjari na hilo pia jeshila iran limeelezea mafanikio yake makuu katika shabaha yake ya kuangamiza balozi za marekani mashariki ya kati likisema ubalozi wa marekani mjini Riyadh saudia arabia sio tu umeshambuliwa bali umesarambaratishwa
Naye kiongozi mkuu wa mpito wa serikali ya mapinduzi ya kiislamu wa iran ayatollah arafi kupitia ukurasa wake x zamani twter amechapisha picha ya anga inayoonyesha shambulio hilo akisema namnukuu...
“hapa si iran,pakstan ama Iraq hapa ni katika ubalozi wa marekani na hilo ni miongoni tu ya shambulio dogo Zaidi hapo bado iran haijaanzisha matumizi ya makombora yake ya invisible misiles ambayo hayo hakuna mfumo wowote wa anga ambao unaweza kuyadhibiti mwisho wa nukuu.

Kufuatia hilo marekani limeshindwa kujizuia ambapo rais Donald trump ametuma ujumbe mzito kwa iran kupitia mtandao wake wa truth social akisema naomba kumnukuu jibu kubwa linamkinbiri iran juu ya shambulio lake katika ubalozi wetu saudia sambambba na kuuwa mamia ya wanajeshi wetu jibu linalostahili ambalo halijawahi kutokea linakuja hivi punde mwisho wa nukuu.
Katika majibizino ya vuta nikuvute viongozi waandamizi wa iran na marekani waziri wa mambo ya nje wa iran amenukuliwa akisema marekani sasa si wakaogopwa tena wamekuwa wakijisifu kwa teknolojia za kijeshi lakini bure kabisa ona sasa ndege zake vita za f-35 zinadondoka zenyewe wakisingizia makossa ya kimfumo wa anga wa Kuwait hii ni sawa na sifuri.
Naye waziri wa mambo ya kigeni wa marekani marco rubio amenukuliwa na chombo cha habari cha marekani the neyork times akielezeza hofu yake katika vita dhidi ya iran akisema namnukuu “ndugu zangu iran wanauwezo wa kuzalisha makombora tunayoyashuhudia Zaidi ya 100 kwa mwezi hiyo ni kwamakadirio tu na si idadi halisi,wakati huo sisi uwezo wetu ni kuzalisha mifumo ya kinga vipangua makombora sita hadi saba kwa mwezi tusisahau pia iran wanazaidi ya maelfu ya drones za kushambulia kwahivyo tusichukulie poa vita hivi.mwisho wa nukuu.

Katika ushirika wa marekani nakutumia kambi zake mashariki ya kati kuishambulia iran hivi leo taifa la pakstan limetoa kauli ya onyo likikataa katakata dhidi ya kutumiwa na marekani kuishambulia iran likisema silaha yoyote ya marekani itakayoingia pakstan itasambaratishwa ndani ya sekunde.

Hata hivyo katika maswali mseto juu ya msaada wa washirika wa iran katika vita na marekani siku yab leo jibu hilo limetanabaishwa na kiongozi mkuu wa mpito wa iran ayatollah Alireza arafi akielezea msaada mkubwa kutoka kwa rais wa china xi jimpingakisema na mnukuu “ nashukuru sana china kwa kutangaza full sapoti katika vita hivi na nyakati hizi ngumu kwa wairan mwisho wa nukuu.
Katika taarifa iliyoshtua wengi ni uingiliaji kati wa Traore katika vita dhidi ya marekani ambapo rais wa burkinafaso Ibrahim Traore amesema yuko tayari kwa msaada wa kijeshi kuisaidia iran endapo itahutaji.SUBSCRIBE sasa kwa habari nyeti na kubwa‪@yuhomatvmedia‬

Комментарии

Информация по комментариям в разработке

Похожие видео

  • DW Kiswahili Habari za Ulimwengu | 03.03.2026 | Jioni | Swahili Habari leo | Podcast
    DW Kiswahili Habari za Ulimwengu | 03.03.2026 | Jioni | Swahili Habari leo | Podcast
    Трансляция закончилась 10 часов назад
  • MAKOMBORA YA BALISTIKI YA IRAN YAPIGA KAMBI YA KIJESHI YA MAREKANI QATAR - MZOZO WAZIDI KUWA MKUBWA
    MAKOMBORA YA BALISTIKI YA IRAN YAPIGA KAMBI YA KIJESHI YA MAREKANI QATAR - MZOZO WAZIDI KUWA MKUBWA
    1 час назад
  • Toàn cảnh chiến sự khốc liệt: Đạn đạo chống hạm Iran xuất trận, Hải quân Mỹ đối mặt phép thử lớn
    Toàn cảnh chiến sự khốc liệt: Đạn đạo chống hạm Iran xuất trận, Hải quân Mỹ đối mặt phép thử lớn
    1 час назад
  • Кто еще вступит в войну в Иране. Ведущего «Соловьев LIVE» уволили. Дело против соратника Пригожина
    Кто еще вступит в войну в Иране. Ведущего «Соловьев LIVE» уволили. Дело против соратника Пригожина
    Трансляция закончилась 8 часов назад
  • Пятый день войны: Путин не помог Ирану, Трамп: самые жесткие удары впереди, Израиль зашел в Ливан
    Пятый день войны: Путин не помог Ирану, Трамп: самые жесткие удары впереди, Израиль зашел в Ливан
    Трансляция закончилась 7 часов назад
  • RAHBY -TRUMP ASEMA IRAN IMEOMBA MAZUNGUMZO TENA ILA WAMECHELEWA
    RAHBY -TRUMP ASEMA IRAN IMEOMBA MAZUNGUMZO TENA ILA WAMECHELEWA
    7 часов назад
  • PART II :DJ SMA MAREKANI na ISRAEL wanampango wa KUIPIGA IRAN kwa NUCLEAR/CHINA hawatakubali
    PART II :DJ SMA MAREKANI na ISRAEL wanampango wa KUIPIGA IRAN kwa NUCLEAR/CHINA hawatakubali
    6 часов назад
  • Kilichotokea kwenye ndege 3 za kijeshi za Marekani zilizodunguliwa Kuwait
    Kilichotokea kwenye ndege 3 za kijeshi za Marekani zilizodunguliwa Kuwait
    1 час назад
  • TRUMP alivyoingia kwenye VITA inayoweza kutengeneza au Kuharibu kabisa Heshima yake
    TRUMP alivyoingia kwenye VITA inayoweza kutengeneza au Kuharibu kabisa Heshima yake
    2 часа назад
  • JWTZ Wajiuzulu kutoka Afisini na Kumgeukia Samia Suluhu:Ikulu Tanzania Yatetemeka waanza msako
    JWTZ Wajiuzulu kutoka Afisini na Kumgeukia Samia Suluhu:Ikulu Tanzania Yatetemeka waanza msako
    5 часов назад
  • Ni kweli IRAN inashambulia makusudi miundombinu ya Kiuchumi ya nchi za Ghuba?
    Ni kweli IRAN inashambulia makusudi miundombinu ya Kiuchumi ya nchi za Ghuba?
    1 час назад
  • Niliwaambia, China na Urusi hawawezi kufanya chochote Marekani akiivamia IRAN – Masubi
    Niliwaambia, China na Urusi hawawezi kufanya chochote Marekani akiivamia IRAN – Masubi
    8 часов назад
  • Приближенный Кадырова, бойфренд Собчак, фигурант файлов Эпштейна
    Приближенный Кадырова, бойфренд Собчак, фигурант файлов Эпштейна
    11 часов назад
  • Война в Иране: истинный смысл боевых действий | Вячеслав  Матузов
    Война в Иране: истинный смысл боевых действий | Вячеслав Матузов
    8 часов назад
  • Расправа с диктатурой в Иране | Как на это смотрит Кремль (English subtitles) @Максим Кац
    Расправа с диктатурой в Иране | Как на это смотрит Кремль (English subtitles) @Максим Кац
    10 часов назад
  • Иранский «Армагеддон»: перспективы войны и топливная паника, Трамп сравнил Зеленского с циркачем
    Иранский «Армагеддон»: перспективы войны и топливная паника, Трамп сравнил Зеленского с циркачем
    4 часа назад
  • Иран. Адская война вместо блицкрига
    Иран. Адская война вместо блицкрига
    6 часов назад
  • 🔥АУСЛЕНДЕР: Иран очнулся от шока! Ближний Восток готовится к МАССОВОЙ ракетной атаке
    🔥АУСЛЕНДЕР: Иран очнулся от шока! Ближний Восток готовится к МАССОВОЙ ракетной атаке
    6 часов назад
  • URGENT:04.2.26 GENERAL WA RWANDA KUSHIKWA, M23/RDF WAPIGWA VIBAYA.
    URGENT:04.2.26 GENERAL WA RWANDA KUSHIKWA, M23/RDF WAPIGWA VIBAYA.
    2 часа назад
  • CẬP NHẬT chiến sự Trung Đông 4/3: Xung đột tại Trung Đông có thể sẽ kéo dài
    CẬP NHẬT chiến sự Trung Đông 4/3: Xung đột tại Trung Đông có thể sẽ kéo dài
    1 час назад
  • О нас
  • Контакты
  • Отказ от ответственности - Disclaimer
  • Условия использования сайта - TOS
  • Политика конфиденциальности

video2dn Copyright © 2023 - 2025

Контакты для правообладателей video2contact@gmail.com