Mtoto wa kwanza wa Bishop Dr Gertrude Rwakatare akimuelezea marehemu mama yake ni nani?

Описание к видео Mtoto wa kwanza wa Bishop Dr Gertrude Rwakatare akimuelezea marehemu mama yake ni nani?

Mtoto wa kwanza wa Bishop Dr Gertrude Rwakatare, Rose Rwakatare akimuelezea marehemu mama yake ni nani siku ya Jumapili 31.05.2020 kwenye ibada ya kumshukuru Mungu iliyoambata na hitimisho la siku 40 za maombolezo iliyofanyika katika kanisa la Mlima wa moto Mikocheni "B"-Dar es Salaam Tanzania.

Комментарии

Информация по комментариям в разработке