MHE. DKT. RAIS SAMIA AKIZUNGUMZA NA WANANCHI KATIKA MKUTANO WA HADHARA VIWANJA VYA AZIMIO MPANDA …

Описание к видео MHE. DKT. RAIS SAMIA AKIZUNGUMZA NA WANANCHI KATIKA MKUTANO WA HADHARA VIWANJA VYA AZIMIO MPANDA …

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan Akizungumza na Wananchi kwenye mkutano wa Hadhara katika viwanja vya Azimio Mpanda Mjini mkoani Katavi, ikiwa ni sehemu ya ziara yake leo tarehe 13 Julai, 2024.

Комментарии

Информация по комментариям в разработке