KABURI LA MTUME ; TAZAMA MAHUJAJI WALIVYOPITA KWA HUZUNI KWENYE KABURI LA MTUME

Описание к видео KABURI LA MTUME ; TAZAMA MAHUJAJI WALIVYOPITA KWA HUZUNI KWENYE KABURI LA MTUME

Mahujaji wa Taasisi ya Tawheed Development Network wakiwa katika Mji Mtukufu wa Madina wamepata fursa ya kutembelea kaika Kaburi la Mtume S.A.W na kutoa salamu zao.
Hii ni fursa muhimu ambayo Mahujaji wameipata, Tafadhali Mkumbushe yule ambaye bado hajaweka nia ya kwenda kutekeleza Ibada ya Hija wakati ndio huu na Taasisi ya Tawheed tupo tayari kukusafirisha.

Sambaza Video hii kwa watu wengi zaidi bila kusahau Ku-subscribe Channel yetu ya Tawheed upate faida zaidi kuhusu Ibada ya Hija.

Комментарии

Информация по комментариям в разработке